Nenda kwa yaliyomo

Kisoo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3437607 (translate me)
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
 
(marekebisho 5 ya kati na watumizi wengine 2 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kisoo''' ni [[Lugha za Kinilo-Sahara|lugha ya Kinilo-Sahara]] nchini [[Uganda]] inayozungumzwa na [[Wasoo]]. Mwaka wa 2002 idadi ya Wasoo imehesabiwa kuwa watu 21,534 lakini idadi ya wasemaji ni wachache zaidi kwa vile ni wazee tu ambao wamebaki kuizungumza lugha hiyo; Wasoo wengi wamebadili lugha na kuongea [[Kikaramojong]] kama lugha yao. Kwa hiyo inawezekana kuwa Kisoo kitatoweka hivi naribuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisoo kiko katika kundi la Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha nyingine za Kinilo-Sahara.
'''Kisoo''' ni [[Lugha za Kinilo-Sahara|lugha ya Kinilo-Sahara]] nchini [[Uganda]] inayozungumzwa na [[Wasoo]]. Mwaka wa 2002 idadi ya Wasoo imehesabiwa kuwa watu 21,534 lakini idadi ya wasemaji ni wachache zaidi kwa vile ni wazee tu ambao wamebaki kuizungumza lugha hiyo; Wasoo wengi wamebadili lugha na kuongea [[Kikaramojong]] kama lugha yao. Kwa hiyo inawezekana kuwa Kisoo itatoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisoo iko katika kundi la Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha nyingine za Kinilo-Sahara.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/teu lugha ya Kisoo kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/teu lugha ya Kisoo kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/teu.html ramani ya Kisoo]
*[http://www.language-archives.org/language/teu makala za OLAC kuhusu Kisoo]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/sooo1256 lugha ya Kisoo katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=teu
*http://www.ethnologue.com/language/teu


{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}

Toleo la sasa la 06:58, 25 Mei 2017

Kisoo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wasoo. Mwaka wa 2002 idadi ya Wasoo imehesabiwa kuwa watu 21,534 lakini idadi ya wasemaji ni wachache zaidi kwa vile ni wazee tu ambao wamebaki kuizungumza lugha hiyo; Wasoo wengi wamebadili lugha na kuongea Kikaramojong kama lugha yao. Kwa hiyo inawezekana kuwa Kisoo itatoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisoo iko katika kundi la Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha nyingine za Kinilo-Sahara.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisoo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.