Nenda kwa yaliyomo

Alpi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mwl:Alpes
#WPWP #WPWPARK
 
(marekebisho 43 ya kati na watumizi wengine 24 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha: V_Julijci_imena.jpg|thumb|Mlima wa Alpi unaopatikana katika nchi ya Italia]]
[[Picha:Satellitenaufnahme der Alpen.jpg|thumb|350px|Alpi kutoka angani.]]
[[Picha:Satellitenaufnahme der Alpen.jpg|thumb|350px|Alpi kutoka angani.]]
'''Alpi''' (kwa [[Kijerumani]]: ''Alpen''; kwa [[Kifaransa]]: ''Alpes''; kwa [[Kiitalia]]: ''Alpi''; kwa [[Kislovenia]]: ''Alpe'') ni safu ya [[milima kunjamano]] katika [[Ulaya]] inayotenganisha [[Ulaya ya Kati]] na [[Ulaya ya Kusini]], hususan [[rasi ya Italia]].


==Jina==
'''Alpi''' ([[Kijerumani]]: ''Alpen''; [[Kifaransa]]: ''Alpes''; [[Kiitalia]]: ''Alpi''; [[Kislovenia]]: ''Alpe'') ni safu ya [[mlima|milima]] katika [[Ulaya]] inayotenganisha Ulaya ya Kati na Ulaya ya Kusini.
Asili ya jina "Alpi" ni [[neno]] la [[Kilatini]] "Alpes". [[Mwandishi]] wa [[Roma ya Kale]] [[Maurus Servius Honoratus]] aliandika mnamo mwaka [[400]] [[BK]] ya kwamba [[Wakelti]] waliita milima mirefu yote "Alpi". Kuna pia jina "Alp" au "Alpe" katika [[lahaja]] za Kijerumani cha Kusini zinazomaanisha machungani ya mlimani.


Lina uhusiano na jina "Albania" kwa nchi za mlimani, kama nchi [[Albania]] ya leo au Albania ya nyakati za kale katika [[Kaukazi]].
Alpi zinaanza upande wa mashariki katika [[Austria]] na [[Slovenia]], zikipita [[Italia]] ya kaskazini, [[Uswisi]], [[Liechtenstein]] na [[Ujerumani]] hadi [[Ufaransa]] upande wa magharibi. Katika Austria a Uswisi Alpi zafunika sehemu kubwa ya eneo la nchi.


Hata nchi ya mlimani [[Uskoti]] iliwahi kuitwa "Albania" zamani.<ref>http://www.etymonline.com/index.php?allowed_in_frame=0&search=Albania&searchmode=none</ref>
Mlima wa juu ni [[Mont Blanc]] (''"mlima mweupe"'') mpakani wa Ufaransa na Uswisi mwenye kimo cha mita 4,808 [[juu ya UB]].


==Jiografia==
Alpi ni safu yenye umri mdogo kijiolojia wa miaka milioni 30-35. Safu ilijikunja na kupaaa juu kwa sababu [[bamba la Afrika]] inagongana na [[bamba la Ulaya-Asia|bamba la Ulaya]] na Alpi zaendelea kujikunja na kukua milimita 1-2 kila mwaka.
Alpi ni safu ya milima yenye [[umbo]] la [[hilali]] yenye [[urefu]] wa [[kilomita]] 800 na [[upana]] wa takriban kilomita 200.
Alpi zinaanza upande wa [[mashariki]] katika [[Austria]] na [[Slovenia]], zikipita [[Italia]] ya kaskazini, [[Uswisi]], [[Liechtenstein]] na [[Ujerumani]] hadi [[ufuko]] wa [[bahari]] ya [[Mediteranea]] nchini [[Ufaransa]] upande wa [[magharibi]]. Katika Austria na Uswisi Alpi zinafunika sehemu kubwa ya eneo la nchi.


Nchi zenye maeneo makubwa ya Alpi ni Uswisi, Ufaransa, Austria na Italia. Pande za kati na magharibi zinafikia juu kuliko pande za mashariki. Kimo cha wastani ni mita 2500 [[juu ya UB]].
Vilele vya juu vina [[theluji]] na [[barafu]] za kudumu yaani mwaka wote. Isipokuwa ukubnwa wa [[barafuto]] za Alpi hupungua haraka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.


[[Mlima]] wa juu kwa urefu ni [[Mont Blanc]] (kwa [[Kifaransa]] ''"mlima mweupe"'') mpakani mwa Ufaransa na Italia wenye [[kimo]] cha [[mita]] 4,808 [[juu ya UB]].
<!-- interwiki -->

Vilele vya juu vina [[theluji]] na [[barafu]] za kudumu yaani mwaka mzima, isipokuwa ukubwa wa [[barafuto]] za Alpi hupungua haraka kutokana na mabadiliko ya [[hali ya hewa]].

Alpi ni safu yenye [[umri]] mdogo [[jiolojia|kijiolojia]] wa miaka [[milioni]] 30-35. Safu ilijikunja na kupaaa juu kwa sababu [[bamba la Afrika]] linagongana na [[bamba la Ulaya-Asia|bamba la Ulaya]], hivyo Alpi zaendelea kujikunja na kukua [[milimita]] 1-2 kila mwaka.

Safu hii inatenganisha [[tabianchi]] ya [[Mediteranea]] upande wa kusini na tabianchi ya kibara upande wa kaskazini.

==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima]]
* [[Orodha ya milima ya Alpi]]

==Tanbihi==
{{marejeo}}


{{Link FA|af}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}

[[Jamii:Milima ya Ulaya]]
[[Jamii:Milima ya Ulaya]]
[[Jamii:Ufaransa]]
[[Jamii:Milima ya Ufaransa]]
[[Jamii:Italia]]
[[Jamii:Milima ya Italia]]
[[Jamii:Uswisi]]
[[Jamii:Milima ya Uswisi]]
[[Jamii:Liechtenstein]]
[[Jamii:Liechtenstein]]
[[Jamii:Austria]]
[[Jamii:Milima ya Austria]]
[[Jamii:Slovenia]]
[[Jamii:Milima ya Slovenia]]
[[Jamii:Ujerumani]]
[[Jamii:Milima ya Ujerumani]]

[[af:Alpe]]
[[als:Alpen]]
[[an:Alpes]]
[[ar:الألب]]
[[arz:الب]]
[[ast:Alpes]]
[[bar:Oipn]]
[[bat-smg:Alpės]]
[[be:Альпы]]
[[be-x-old:Альпы]]
[[bg:Алпи]]
[[bn:আল্পস্‌ পর্বতমালা]]
[[br:Alpoù]]
[[bs:Alpi]]
[[ca:Alps]]
[[cs:Alpy]]
[[cy:Alpau]]
[[da:Alperne]]
[[de:Alpen]]
[[el:Άλπεις]]
[[eml:Èlp]]
[[en:Alps]]
[[eo:Alpoj]]
[[es:Alpes]]
[[et:Alpid]]
[[eu:Alpeak]]
[[fa:آلپ]]
[[fi:Alpit]]
[[fiu-vro:Alpiq]]
[[fr:Alpes]]
[[frp:Arpes]]
[[fy:Alpen]]
[[ga:Na hAlpa]]
[[gan:阿爾卑斯山]]
[[gl:Alpes]]
[[he:הרי האלפים]]
[[hi:आल्प्स]]
[[hif:Alps]]
[[hr:Alpe]]
[[hu:Alpok]]
[[id:Alpen]]
[[is:Alpafjöll]]
[[it:Alpi]]
[[ja:アルプス山脈]]
[[jv:Alpen]]
[[ka:ალპები]]
[[ko:알프스 산맥]]
[[ku:Alp]]
[[la:Alpes]]
[[lb:Alpen]]
[[li:Alpe]]
[[ln:Alpi]]
[[lt:Alpės]]
[[lv:Alpi]]
[[mk:Алпи]]
[[ml:ആല്‍പ്സ്]]
[[mn:Альпийн нуруу]]
[[mr:आल्प्स]]
[[ms:Alp]]
[[mwl:Alpes]]
[[nds:Alpen]]
[[ne:आल्प्स]]
[[nl:Alpen]]
[[nn:Alpane]]
[[no:Alpene]]
[[nrm:Alpes]]
[[oc:Alps]]
[[pl:Alpy]]
[[pms:Alp]]
[[pt:Alpes]]
[[qu:Alpikuna]]
[[rm:Alps]]
[[ro:Alpi]]
[[ru:Альпы]]
[[sah:Альптар]]
[[scn:Alpi]]
[[sh:Alpe]]
[[simple:Alps]]
[[sk:Alpy]]
[[sl:Alpe]]
[[sq:Alpet]]
[[sr:Алпи]]
[[stq:Alpen]]
[[sv:Alperna]]
[[ta:ஆல்ப்ஸ்]]
[[te:ఆల్ప్స్ పర్వతాలు]]
[[tg:Кӯҳҳои Алп]]
[[th:เทือกเขาแอลป์]]
[[tl:Alpes]]
[[tr:Alpler]]
[[ug:ئالپ تاغلىرى]]
[[uk:Альпи]]
[[ur:الپس]]
[[vec:Alpe]]
[[vi:Anpơ]]
[[war:Alpes]]
[[yi:אלפן]]
[[zh:阿尔卑斯山]]
[[zh-yue:阿爾卑斯山]]

Toleo la sasa la 10:57, 10 Julai 2021

Mlima wa Alpi unaopatikana katika nchi ya Italia
Alpi kutoka angani.

Alpi (kwa Kijerumani: Alpen; kwa Kifaransa: Alpes; kwa Kiitalia: Alpi; kwa Kislovenia: Alpe) ni safu ya milima kunjamano katika Ulaya inayotenganisha Ulaya ya Kati na Ulaya ya Kusini, hususan rasi ya Italia.

Asili ya jina "Alpi" ni neno la Kilatini "Alpes". Mwandishi wa Roma ya Kale Maurus Servius Honoratus aliandika mnamo mwaka 400 BK ya kwamba Wakelti waliita milima mirefu yote "Alpi". Kuna pia jina "Alp" au "Alpe" katika lahaja za Kijerumani cha Kusini zinazomaanisha machungani ya mlimani.

Lina uhusiano na jina "Albania" kwa nchi za mlimani, kama nchi Albania ya leo au Albania ya nyakati za kale katika Kaukazi.

Hata nchi ya mlimani Uskoti iliwahi kuitwa "Albania" zamani.[1]

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Alpi ni safu ya milima yenye umbo la hilali yenye urefu wa kilomita 800 na upana wa takriban kilomita 200. Alpi zinaanza upande wa mashariki katika Austria na Slovenia, zikipita Italia ya kaskazini, Uswisi, Liechtenstein na Ujerumani hadi ufuko wa bahari ya Mediteranea nchini Ufaransa upande wa magharibi. Katika Austria na Uswisi Alpi zinafunika sehemu kubwa ya eneo la nchi.

Nchi zenye maeneo makubwa ya Alpi ni Uswisi, Ufaransa, Austria na Italia. Pande za kati na magharibi zinafikia juu kuliko pande za mashariki. Kimo cha wastani ni mita 2500 juu ya UB.

Mlima wa juu kwa urefu ni Mont Blanc (kwa Kifaransa "mlima mweupe") mpakani mwa Ufaransa na Italia wenye kimo cha mita 4,808 juu ya UB.

Vilele vya juu vina theluji na barafu za kudumu yaani mwaka mzima, isipokuwa ukubwa wa barafuto za Alpi hupungua haraka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Alpi ni safu yenye umri mdogo kijiolojia wa miaka milioni 30-35. Safu ilijikunja na kupaaa juu kwa sababu bamba la Afrika linagongana na bamba la Ulaya, hivyo Alpi zaendelea kujikunja na kukua milimita 1-2 kila mwaka.

Safu hii inatenganisha tabianchi ya Mediteranea upande wa kusini na tabianchi ya kibara upande wa kaskazini.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alpi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.