Bodi ya Wadhamini ya Mradi wa Wikimedia
Wikimedia Foundation staff and contractors participate with the volunteer community in maintaining this page's content. |
Bodi ya wadhamini ya Mradi wa Wikimedia yaa (BoT) inajukumu la kuangalia mradi wa Wikimedia na kazi zake, na sheria zake ndogondogo.
Muundo
Bodi iliundwa mnamo mwaka 2003 ikiwa na wadhamini watatu, na tangu mwaka 2020 bodi inajumuisha wadhamini 16 kumi na sita. inachangua maofisa kutoka kwa wadhamini: Mwenyekiti, nafasi mbili ya makamu wenye viti, na wenyekiti wa kamati. Bodi pia ina teua maofisa nje na wadhamini: Mkurugenzi mkuu, Mhadhini mkuu, na Katibu. Baadhi ya shughuri za bodi ni pamoja na Maazimio na uchaguzi. Kazi nyingine hukabidhiwa kwenye kamati mbalimbali kama vile Utawala, ukaguzi, vipaji na utamaduni, Kamati ya bidhaa na tekinolojia na kamati ya maadili ya jamii.
Kwasasa uanachama wa Bodi unajumuisha:
- 1 (Moja) KIti cha mwanzirishi imehifadhiwa kwaajili ya Jimmy Wales;
- 7 (Saba) viti kwaajili ya walio chaguliwa na Bodi kwakuzingatia taaluma husika ikizingatia Board Governance Committee kamati ya uongozi; na
- 8 (Nane) Viti kwaajili ya wajumbe walio chaguliwa na jumuia na washirika
Kuwasiliana na Bodi
Kuna Ubao wa matangazo ya kushiriki maombi na mapendekezo. Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na Bodi kupitia ubao wa matangazo. Unaweza kuwasiliana na Mradi wa Wikimedia wenyewe kwanjia kadhaa kama ilivyoainishwa kwenye contact|page.
Wanachama kwa sasa
Picha | Jina | Kiti | Jukumu/nafasi | Ukomo wa mhura | Maelezo | wiki Nyumbani |
---|---|---|---|---|---|---|
Jimmy Wales (User:Jimbo Wales) | Mwanzilishi | Mwenyekiti Mstaafu[Notes 1] | 1 Novemba 2024 | Aliteuliwa tena tarehe 8 Desemba 2021 | Wikipedia ya Kiingereza | |
Dr. Dariusz Jemielniak (User:Pundit) | Jumuiya/Ushiriki | Kamati ya Utawala mwenyekiti | 1 Novemba 2024 | Aliteuliwa Oktoba 2021 | Polish Wikipedia | |
Rosie Stephenson-Goodknight (User:Rosiestep) | Jumuiya/Ushiriki | 1 Novemba 2024 | Aliteuliwa Oktoba 2021 | Wikipedia ya Kiingereza | ||
Victoria Doronina (User:Victoria) | Jumuiya/Ushiriki | 1 Novemba 2024 | Aliteuliwa Oktoba 2021 | Russian Wikipedia | ||
Lorenzo Losa (User:Laurentius) | Jumuiya/Ushiriki | makamu mwenyekiti |
1 Novemba 2024 | Aliteuliwa Oktoba 2021 | Italian Wikipedia | |
Mike Peel (User:Mike Peel) | Jumuiya/Ushiriki | 31 Desemba 2025 | Aliteuliwa rasmi Desemba 2022 | Wikipedia ya Kiingereza | ||
Nataliia Tymkiv (User:NTymkiv (WMF)) | Kuwekwa rasmi | Mwenyekiti | 1 Novemba 2025 | Aliteuliwa Oktoba 2021 | Ukrainian Wikipedia | |
Shani Evenstein Sigalov (User:Shani (WMF)) | Jumuiya/Ushiriki | Kamati ya Utawala mwenyekiti | 31 Desemba 2025 | [[Special:MyLanguage/Wikimedia Foundation elections/2022|Aliteuliwa tena tarehe 8 Desemba 2021]] | Hebrew Wikipedia | |
Esra'a Al Shafei | Kuwekwa rasmi | Kamati ya Bidhaa na Teknolojia mwenyekiti | 1 Oktoba 2026 | Aliteuliwa tena tarehe 15 Agosti 2023 | ||
Raju Narisetti | Kuwekwa rasmi | Kamati ya Utawala mwenyekiti | 1 Oktoba 2026 | Aliteuliwa tena tarehe 15 Agosti 2023 | ||
Luis Bitencourt-Emilio | Kuwekwa rasmi | 1 Januari 2025 | Aliteuliwa rasmi Desemba 2022 | |||
Kathy Collins | Kuwekwa rasmi | makamu mwenyekiti ; Kamati ya Utawala mwenyekiti |
1 Novemba 2026 | Aliteuliwa rasmi Desemba 2022 |
- Maelezo:
- ↑ Baraza la Wadhamini/Tangazo la Urekebishaji, Aprili 2008
Wanachama wazamani
Kamati
- Kamati ya Ukaguzi ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Kamati ya Utawala wa Bodi ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Kamati ya Vipaji na Utamaduni ya Wikimedia Foundation (Charter)
- Kamati ya Bidhaa na Teknolojia ya Wikimedia Foundation (Charter)
- Kamati ya Masuala ya Jamii ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Kamati ya usimamiaji wa Ruzuku
- Mawasiliano ya sasa: Dariusz Jemielniak, Nataliia Tymkiv
- Kamati ya Ukaguzi ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Mawasiliano ya sasa: Lorenzo Losa, Mike Peel, Nataliia Tymkiv
- Kamati ya Uchaguzi
- Uhusiano kwa sasa: Esra'a Al Shafei, Jimmy Wales
- Kamati ya Lugha (Mkataba)
- Mawasiliano ya sasa: Nataliia Tymkiv
Maelezo zaidi
- Orodha ya mikutano ya Bodi (pamoja na nakala)
- Orodha ya maazimio ya Bodi
- Mchakato wa majadiliano ya bodi
- Muundo wa Bodi ya Wadhamini
- Mawasilisho ya Wanachama wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation
- Insha na majadiliano juu ya uanachama bora: